Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Saturday, September 15, 2012

ANTI EZEKIEL AJIDHALILISHA NA UVAAJI WAKE WA NUSU UCHI...

msanii wa maarufu kunako tasnia ya filamu a.k.a bongo muvi al maarufu kama anti Ezekiel amelalamikiwa na wengi kutokana na kitendo chake cha kuvaa kinguo kifupi kilicho ruhusu nguo yake ya ndani ''kufuli'' kuonekana live bila chenga.
ni mara nyingi wasanii wa bongo muvi hasa wa kike kulalamikiwa na umma juu ya uvaaji wao unaopotosha maadili ya kitanzania.

0 comments: