Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Monday, August 13, 2012

AJARI MBAYA YATOKEA MOROGORO...



Ajali mbaya imetokea baada ya mabasi matatu kuacha njia katika eneo la Mkundi Makunganya barabaraba kuu Dodoma-Morogoro.. katika ajari hiyo, watu 11 wamefariki papo hapo wakati abiria zaidi ya 40 walijeruhiwa na huku wengine 45 kunusurika  kifo. katika ajali hiyo, basi la kampuni ya Ally's sports basi lililokua likitokea dar es salaam kuelekea mwanza liliacha njia na kupinduka na hatimaye kusababisha basi ya shabiby lililokua likitokea Dodoma kwenda Dar es salaam pamoja na gari la Sumry lililokua likitokea morogoro kwenda mwanza kuacha njia na kupinduka.

0 comments: