Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Monday, September 3, 2012

FIESTA MUSOMA.......... #BHAAAAASSSSSS......

mmoja kati ya ma Dj clouds.... Dj PQ akifanya vitu vyake

Bob juniour akifanya vitu vyake

Ommy dimpoz

Ommy dimpoz kwa poz akisababisha na dancerz wake

mwasiti

mmoja kati ya walioibuka katika kumtafuta super nyota

mashabiki walifurika mpaka #bhaaaassss..

wazungu nao hawakubaki nyuma

Ney wa mitego

Prof. jizzle

Roma mkatoliki akipagawisha mashabiki

bongo muvi nao hawakubaki nyuma.... Steve nyerere na Anti Ezekiel wakipagawisha mashabiki

mashabiki ndani ya Musoma

Bonge la bwana... Jacob steven

shabiki kapanic

ray na steve nyerere

Ray a.k.a Vicent Kigosi akionyesha vitu vyake

Bibi cheka, Temba na chege wakiburudisha mashabiki

Fid Q msanii wa hip hop akifanya vitu vyake

wacha weee.... Ray akifanya utundu wake ndani ya fiesta Musoma

0 comments: