mwana riadha Usain bolt ang'ara zaidi kwenye mashindano ya olympic kwa upande wa wanaume avunja rekodi mara mbili zaidi katika historia, baada ya kushinda medali hiyo ya dhahabu 2008 kwa mita 100 kwa upande wa wanaume ambapo mashindano hayo yalifanyika Beijing na mwaka huu kwa mita 200 baada ya kuwaacha mbali mahasimu wake wawili Yonah Blake(medali ya silver) aliyekimbia kwa dakika 19.44 akifuatiwa na mwanariadha Wallace spearmon(medali ya blonze) aliyekimbia kwa dakika 19.90 wakati Bolt akikimbia kw dakika 19.32 ikiwa wote kwa pamoja wakitokea Jamaica![]() |
BOLT mwenye jacket la njano akiwa na MEDAL yake ya DHAHABU |
![]() |
BOLT akiwa katka mashindano |


0 comments:
Post a Comment