kutokana na tetesi zilizoenea midomoni kwa watu kua Diamond amewatelekeza au amewatosa dancerz wake akiuka na kusema....... Jibu ni hapana,nimeamua kuwaacha marekani kwaajiri ya mapumziko ya muda mfupi. Ili waweze kurefresh akili na miili yao kwasababu kiukweli wamefanya kazi kubwa kwa muda mrefu na iliyozaa matunda makubwa...hivyo kwa upendo na Heshima yangu kwao nikaona ni vizuri niwazawadie Mapumziko hayo Nchini AMERICA..... mbali na hayo kuna kingine kikubwa ambacho soon ntawajuza nini wanakifanya pia huko America ili wakirudi wazidi kuleta revolution katika Industry hii ya Muziki Africa...
|
0 comments:
Post a Comment