Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Wednesday, September 19, 2012

WASANII WA BONGO MOVIE WADHIIDI KUJISHUSHA THAMANI YAO...!!!! BAADA YA AUNT EZAKIEL SASA NI WEMA SEPETU..!!


kama ni mfuatiliaji mzuri wa makala mbalimbali zinazorushwa na blog hii pendwa utagundua ni nii kinaendelea katika tasnia ya filamu na mikasa yao ya kujishusha thamani utu wao..!!!!
siku mbili tatu msanii maarufu wa filamu za bongo Ezekiel 
Aunt   alikabiriwa na kashfa nzito ya kuonyesha nusu utupu wake baada ya kuvaa nguo fupi iliyoruhusu nguo yake ya ndani kuonekana katika jukwaa la fiesta viwanja vya Jamuhuri Dodoma.

sasa yameibuka mengine tena katika jukwaa la fiesta mjini morogoro baada ya msanii Wema Sepetu kuvaa nguo fupi iliyoonyesha sehemu kubwa ya uvungu wa makalio yake. tukio hili limelaaniwa na wengi wa wanannchi hasa kwa upande wa wakinadada wanaocheza filamu hapa bongo na kusema wanaudhalilisha umma maanake mwisho wa siku filamu hizo zinarushwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. na wameombwa kuithamini miili yao na kazi zao kwani mwisho wa siku sio tu inawadhalilisha wao wenyewe ila na Tanzania kwa ujumla.

0 comments: