They start caring when u stop giving a d.a.m.n.... nothing to fear than fear itself.... #i was born this way.... boooyer.... this z kizzle dizzle.
Ads 468x60px
.
FOLLOW US ON TWITTER
FOLLOW US ON TWITTER
.
Tuesday, September 18, 2012
MSANII WA KIZAZI KIPYA LAMECK DITTO ACHAGULIWA KUWANIA TUZO ZA RADIO FRANCE AFRICA..
Msanii wa Bongo Fleva Lameck Ditto kutoka THT ametajwa katika wasanii wanao wania Tuzo za Radio France International Discoveries kutoka Ufaransa . tuzo hii itajumuisha wasanii kumi kutoka Africa ambao watapambanishwa ,Ditto ameingizwa kwenye tuzo hizi akiwa na nyimbo mbili tofauti ikiwa pamoja na ''Wapo'' na ''Niamini'' na mshindi wa Tuzo hii atapata Euro Elfu kumi na mkataba wa kufanya show za live katika nchi 18 duniani. Maeneo ya show hizi yatakuwa Afrika magaribi ,Marekani na Europe, Mkataba huu pia una kipengele cha promotion atakayo fanyiwa na Vituo vya Radio France. Nia ya Radio France kufanya Tuzo hizi ni kutangaza mziki wa Africa Duniani na mshindi wa kwanza wa tuzo hii kutoka Africa Mashariki alikuwa Maurice Kirya 2010 ,alishinda Euro 18,000 na kufanya show Mjini Paris na Tour ya Africa Ya Mwaka Mzima. tuonyeshe sapoti kwa msanii wetu wa kizazi kipya kwani kura yako ndo mafanikio yetu JINSI YA KUMPIGIA KURA DITTO . Link Hii Hapa
http://mobile.english.rfi.fr/node/137503
vote discoveries-award-2012
Vote for your favourite finalist
To confirm your vote, please indicate your name and adress
0 comments:
Post a Comment