"Nisingependa mwanangu akodishiwe Tax au kudandia lift kwenye gari za watu wakati wa kupelekwa clinic na sehem mbalimbali....hivyo ndio maana nikaamua kujidhiki na kumnunulia binti yangu gari hii na pia kuudhihirishia uma ni kiasi gani nampenda na kumthamini mwanangu kipenzi" Alinena Rais huyo wa Darstamina.
Tuesday, September 18, 2012
RAIS WA DASTAMINA SHEE SHE SHEEEETAH..!!! AFANYA MATUSI YA AINA YAKE..
"Nisingependa mwanangu akodishiwe Tax au kudandia lift kwenye gari za watu wakati wa kupelekwa clinic na sehem mbalimbali....hivyo ndio maana nikaamua kujidhiki na kumnunulia binti yangu gari hii na pia kuudhihirishia uma ni kiasi gani nampenda na kumthamini mwanangu kipenzi" Alinena Rais huyo wa Darstamina.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment