Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Sunday, October 14, 2012

NEW TRACK: JUSTIN BEIBER ft. NICK MINAJ ''BEAUTY AND THE BEAST''


DIAMOND NA LADY JAY DEE WATAJWA KAMA KING AND QUEEN WA BONGO FLEVA KATIKA MTANDAO MKUBWA DUNIANI WA MSN

Siku za hivi karibuni mtandao maarufu duniani wa MSN ulimtaja kua Diamond na Lady jay dee kama king and queen wa bongo fleva. baada ya taarifa hiyo Diamond aliandika kwenye site yake kwamba.....
"Honestly nmejiskia furaha sana kuandikwa katika mtandao mkubwa kama huu,
juu ya kazi yangu ya muziki ninayoifanya na kupewa heshima ya kuwa King of Bongo Flava.
Hii inaonesha ni jinsi gani muziki wetu umepiga hatua na unazidi kuvuka boda" Huu ndiyo ujumbe uliyoandikwa na mtu mzima Platinum baada ya kutaja katika mtandano mkubwa Duniani unaojulikana kwa jina la MSN.


NEW TRACK: STELLA MWANGI '' SHUT IT DOWN''


NEW TRACK: NIKI WA PILI ft. G NAKO & JOH MAKINI ''PEA''


MAUREEN JIMMY'S KITCHEN PARTY











Saturday, October 13, 2012

BLACK RHINO AUGULIWA NA MKE WAKE...

Rapper maarufu black rhino ambaye alifunga ndoa    hivi karibuni ameeleza kwa masikitiko makubwa juu ya kuuguliwa na mke wake kipenzi katika mtandao wa facebook. mke wa rapper huyo amelazwa katika hospitali ya agha knan wilayani kinondoni jijini dar es salaam..!!! wish u quick recovery madam..!!

Sunday, October 7, 2012