Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Saturday, June 1, 2013

R.I.P MANGWAIR

Albert mangwair enzi za uhai wake
Tanzania imepata msiba mkubwa sana baada ya kuondokewa na msanii mkali wa free style Albert mangwair kilichotokea huko South Africa. chanzo za habari chetu kinadai kua siku ya jumapili asubuhi alikutwa amefariki dunia baada ya kulewa sana akiwa na rafiki yake na mwenyeji wake pia aitwaye M to the P ambaye naye alikutwa amezimia na kupelekwa hospitali ambapo ngwair alikutwa ameshafariki dunia tayari huku mwenzie alikua hajitambui, lakini hadi sasa taarifa zinaeleza kua M to the P anaendelea vizuri baada ya kutolewa ICU juzi. Na mwili wa marehemu albert mangwair unatarajiwa kufika nchini Tanzania siku ya jumatatu na msiba utakua nyumbani kwa mbezi beach-Goigi jijini Dar es salaam na maziko yatafanyika alipozikwa marehemu baba yake mzazi mkoani Morogoro. BWANA AMETOA.. BWANA AMETWAA

NEW JOINT: JOTO,HASIRA-LADY JAY DEE ft. PROF. J


NEW JOINT... NEY WA MITEGO FT. DIAMOND- MUZIKI GANI