Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Friday, September 28, 2012

HAPPY BIRTHDAY WEMA SEPETU

Leo ni siku ya kuzaliwa msanii maarufu kunako tasnia ya filamu nchinio Tanzania bibie wema sepetu kwa kutimiza miaka 22..!!! mkalee blogspot wa wapambe wake wote ina mtakia A HAPPY BIRTHDAY..... have a blast mdada

Thursday, September 27, 2012

HAPPY BIRTDAY TUNECHI-- LIL WAYNE...

Leo msanii wa hip hop nchini marekani, Dwayne carter 3, lil' wayne amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 30. kwa kuwa turning 30 ni mark between youth and adult, leo ningependelea kuwaletea makala maalum kuhusu lil' wayne, ikiwa ni pamoja na biography yake na his first single wakati anaingia kwenye gemu..... check hapa......... first wizzy song and video............
Baada ya kucheck video ya hapo juu, utaweza ukagundua kua hapo wizzy dreads zake hazikuwa ndefu sana waka ngozi yake haikupambwa na tattoes kama alivyo sasa..!!! hapo ilikua mwaka 1999 ambapo track hiyo alimshirikisha Juvenile na B.G. kila kitu kinahitaji juhudi na umakini katika kukifanikisha, ukiangalia sasa lil' wayne ni mtu mwenye maendeleo makubwa sana ikiwa pamoja na kumiliki cash money records, skate boarding na guiter playing na pia amekuwa akiwainua wasanii wengine wachanga kama Drake na Nick Minaj. ni ndani ya miaka 13 wizzy ameweza kufanya yote haya wakati hapo aliiachia ngoma hiyo soon after his 17th birthday..!!!  

Lil Wayne Biography 

Dwayne Michael Carter, Jr. (born September 27, 1982), better known by his stage name Lil Wayne , is an American rapper. At the age of nine, Lil Wayne joined Cash Money Records as the youngest member of the label, and half of the duo, The B.G.'z, with B.G.. In 1997, Lil Wayne joined the group Hot Boys, which also included rappers Juvenile, B.G., and Young Turk. Hot Boys debuted with ''Get It How U Live!'' that year. Lil Wayne gained most of his success with the group's major selling album ''Guerrilla Warfare'', released in 1999. Also in 1999, Lil Wayne released his Platinum debut album ''Tha Block Is Hot'', selling over one million copies in the U.S. Although his next two albums ''Lights Out'' (2000) and ''500 Degreez'' (2002) were not as successful (only reaching Gold status), Lil Wayne reached higher popularity in 2004 with ''Tha Carter'', which included the single "Go D.J." Wayne also appeared on the Destiny's Child top ten single "Soldier" that year. In 2005, the sequel to ''Tha Carter'', ''Tha Carter II'', was released. In 2006 and 2007, Lil Wayne released several mixtapes and appeared on several popular rap and R&B singles. His most successful album, ''Tha Carter III'', was released in 2008 and sold over 1 million copies in the U.S. its first week of release. It included the number-one single "Lollipop" featuring Static Major. It also includes the singles "A Milli" and "Got Money" featuring T-Pain and won the Grammy Award for Best Rap Album. Lil Wayne released his debut rock album, ''Rebirth'', in 2010 to primarily negative reception from critics. The album eventually went gold. In March 2010, Lil Wayne began serving an 8-month prison sentence in New York after being convicted of criminal possession of a weapon stemming from an incident in July 2007. While in prison he released another album entitled ''I Am Not a Human Being'' in September 2010, featuring Young Money artists such as Drake, Nicki Minaj and Lil Twist. His ninth studio album and first since being released from prison, ''Tha Carter IV'', was released on August 29, 2011. The album includes the songs "6 Foot 7 Foot" featuring Cory Gunz, "How to Love" and "She Will" featuring Drake. It sold 964,000 copies in the U.S. its first week out.

NEW TRACK..... CAMP MULLA FEAT. WIZ KID-- PRICES


BAADA YA P SQUARE KUMTEMA MR. MAY D AANZISHA LEBO YAKE YA MUZIKI

Msanii aliyefanya vizuri katika ngoma ya '' Chop my money'' aliyoshirikishwa na Psquare akiwa sambamba na Akon ,Mr. MayD baada la mgogoro kati yake na Psquare na kutolewa katika lebo ya ''square records''   inayomilikiwa na wasanii hao [psquare] ameamua kuanzisha lebo yake binafsi inayokwenda kwa jina la ''Confam Entertainment'' itakayo wahusisha wasanii hasa kutoka UK  na itakua inahusika na muziki wa radha tofauti tofauti. Lengo la kuanzisha lebo hiyo inasemekana ni ushindani na Psquare kwani toka msanii huyo aondolewe kienyeji na Psquare records amekua akitafuta njia ya kujitangaza kivyake. kabla ya kufanya kazi zake lebo ya square records mr. may d alikua anafanya kazi zake katika lebo ya ''Ice cream records''

NGOMA MPYA YA CHRIS BROWN......... DON'T JUDGE ME


RICK ROSS KUTUA NDANI YA DAR ES SALAAM KATIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2012 OCTOBER 6



Ukitaja miongoni mwa wanamuziki wa hip hop machachari ulimwenguni utakua umefanya makosa kama hukumtaja rais wa kundi machachali la Maybac Music double MMG linaloundwa na vichwa vitano yaani....Omarion, meek millie, stanley na mzee mzima mwenyewe Rick ross/boss/the teflon don..... ambaye october 6 atakuja kuwarusha wakazi wa jiji la dar es salaam kwenye tamasha maarufu la serengeti fiesta maeneo ya leaders club kinondoni ambapo kiingilio itakua 20'000/= na 25'000/= kwa watakao katia tiketi mlangoni........
#wakazi wa Dar es salaam kaeni mkao wa kula....!!!!!!

HAPPY BIRTHDAY BY SOLID GROUND FAMILY...


JUICY J ft. 2 CHAIN & LIL WAYNE Bandz A Make Her Dance (Explicit)


KISA CHA PAH ONE KUKAMATWA NA POLISI HIKI HAPA...

PAH ONE 26TH SEPT 2012

BOMA LA UTETE BY YOUNG DEE

NEW TRACK---->>>>RIHANNA - DIAMONDS IN THE SKY

Wednesday, September 26, 2012

FIESTA IRINGA,,, MATUKIO KATIKA PICHA

wema

amini

ant Ezekiel

Ray

diamond


Rich mavoko

Ben Paul


Shetta na Diamond

Linnah

Linex

Recho

COMMING SOOOOON..... TRIPPLE D'

Studio 4.12 inakaribia kuachia ngoma mpya itakayokwenda kwa jina Triple ‘D’ – DeliciousDear & Darling. Ndani ya kazi hiyo kutakua na vichwa vitatu Mimi mwenyewe the big Brotherman, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz. Mashabiki kaeni mkao wa kula.
source:Dulisyx.com


NEW SONG... HAMIDU FT. YOUNG D & ALICE - hatua zangu

 

Monday, September 24, 2012

UWOYA AMFUATA MUMEWE RWANDA..


Irene Pancras Uwoya, anadaiwa kutimka Bongo huku taarifa zikidai yupo nchini Rwanda kwa ajili ya kwenda kumwangukia mumewe Hamad Ndikumana ‘Kataut’na nyingine zikisema yupo Msumbiji.
Kwa mujibu wa vyanzo makini viwili ambavyo vipo karibu na staa huyo, Uwoya hayuko Bongo, wikiendi iliyopita alikwenda kwa baba Krish kwani kwa sasa ana mawasiliano mazuri na mzazi mwenzie huyo.
Wakati chanzo kimoja kikieleza hayo, kingine kikarukia na kutonya kuwa Uwoya ambaye hivi karibuni alikuwa ‘lokesheni’ akirekodi filamu yake ya Apple, hakwenda kwa Ndiku bali yupo nchini Msumbiji.
Baada ya kupata maelezo hayo,  chanzo cha habari hii kilifanya jitihada za kuzungumza na Uwoya lakini hakupatikana, jambo lililosababisha mwanahabari wetu kufunga safari hadi nyumbani kwao Mbezi Jogoo jijini Dar na kumkuta msichana aliyejibu kuwa mama Krish hayupo na hajui aliko.
source: 
 Kwetu Bongo  

RECHO AZUNGUMZA KUHUSU UVUMI ULIOENEA JUU YA PICHA YAKE YA PAMOJA NA LINNAH NA DIAMOND ILIYOZAGAA MITANDAONI




kupitia picha iliyosambaa sehemu mbali mbali hasa kwenye mitandao ya kijamii, facebook , twitter na blogs mbali mbali ikiwaonyesha Recho, Linnah na Diamond katika picha ya pamoja ya kihasala hasala sehemu flani ya kuogelea wakila bata... ambapo kuna waliosema picha hiyo ime editiwa kwa lengo la kuwachafua wasanii hawa na mengine mengi yakiwa ni tetesi na uvumi tuu..!! kwa bahati nzuri msanii Recho aliweza kupatikana kwa njia ya simu katika kipindi cha top 20 cha clouds Fm jumapili hii na kusema....

"hiyo picha ni hali tu ya kawaida, na wala hatukua peke yetu tulikuwa na wasanii wenzetu na presenter wengine tulikuwa tunaogelea,na tulikua tunapiga picha ndio, so ni bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile alikua anajiweka sawa tu sema mpiga picha ndo aliwahi kupiga, bahati mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio ikafika huko.
tulikua sehem to have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe sijakipenda kwasababu si tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila mwingine anachukua na kuanza kusambaza sio vizuri"

FIESTA MBEYA... MATUKIO KATIKA PICHA...

stamina

diamond

Linnah

Recho

anti ezekiel, wema na shilole

Ben paul

Barnaba

Tunda man

washabiki mjini mbeya

USAILI WA KUTAFUTA MODELS KWENYE VIDEO MPYA YA DIAMOND AT NYUMBANI LOUNGE...




















judges


mama ake Diamond