Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Monday, September 24, 2012

RECHO AZUNGUMZA KUHUSU UVUMI ULIOENEA JUU YA PICHA YAKE YA PAMOJA NA LINNAH NA DIAMOND ILIYOZAGAA MITANDAONI




kupitia picha iliyosambaa sehemu mbali mbali hasa kwenye mitandao ya kijamii, facebook , twitter na blogs mbali mbali ikiwaonyesha Recho, Linnah na Diamond katika picha ya pamoja ya kihasala hasala sehemu flani ya kuogelea wakila bata... ambapo kuna waliosema picha hiyo ime editiwa kwa lengo la kuwachafua wasanii hawa na mengine mengi yakiwa ni tetesi na uvumi tuu..!! kwa bahati nzuri msanii Recho aliweza kupatikana kwa njia ya simu katika kipindi cha top 20 cha clouds Fm jumapili hii na kusema....

"hiyo picha ni hali tu ya kawaida, na wala hatukua peke yetu tulikuwa na wasanii wenzetu na presenter wengine tulikuwa tunaogelea,na tulikua tunapiga picha ndio, so ni bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile alikua anajiweka sawa tu sema mpiga picha ndo aliwahi kupiga, bahati mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio ikafika huko.
tulikua sehem to have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe sijakipenda kwasababu si tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila mwingine anachukua na kuanza kusambaza sio vizuri"

0 comments: