Ukitaja miongoni mwa wanamuziki wa hip hop machachari ulimwenguni utakua umefanya makosa kama hukumtaja rais wa kundi machachali la Maybac Music double MMG linaloundwa na vichwa vitano yaani....Omarion, meek millie, stanley na mzee mzima mwenyewe Rick ross/boss/the teflon don..... ambaye october 6 atakuja kuwarusha wakazi wa jiji la dar es salaam kwenye tamasha maarufu la serengeti fiesta maeneo ya leaders club kinondoni ambapo kiingilio itakua 20'000/= na 25'000/= kwa watakao katia tiketi mlangoni........ #wakazi wa Dar es salaam kaeni mkao wa kula....!!!!!! |
0 comments:
Post a Comment