Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Saturday, September 15, 2012

KANYE WEST AONGOZA KWA NOMINATION KATIKA TUZO ZA BET AWARDS 2012


Ukitaja ma rapper wa hip hop wanaofanya vizuri sana katika game la muziki pande za state basi huyu ni mmoja wapo namzungumzia Kanye West.Msanii huyu amekuwa na mwaka mzuri na wa mafanikio akiwa kama producer, performer na director na zaidi ni collaboration aliyofanya na Jay- Z kwenye album ya “Watch the Throne.”pia msanii huyu ameongoza kuwa katika nomination za BET mwaka huu 2012 kwa kuwa nominated mara 17 akifutiwa na 2 chainz ambaye aliteuliwa kuwa katika tuzo hizo vipengele 13 na canadian rapper hip hop namzungumzia Drake naye aliteuliwa katika vipengele 11.Hapo chini ni vipengele kamili ambavyo kanye west ameweza kuongoza kwa kuwa nominated kwa kila categories katika tuzo za BET award mwaka 2012


Best Hip-Hop Video
2 Chainz f/ Drake – “No Lie”
A$AP Rocky – “Goldie”
Drake f/ Lil’ Wayne – “HYFR”
Wale f/ Miguel – “Lotus Flower Bomb”
Kanye West, 2 Chainz, Big Sean x Pusha T – “Mercy”
Reese’s Perfect Combo Award
2 Chainz f/ Drake – “No Lie”
Drake f/ Lil’ Wayne x Tyga – “The Motto”
J. Cole f/ Missy Elliott – “Nobody’s Perfect”
Wale f/ Miguel – “Lotus Flower Bomb”
Kanye West, 2 Chainz, Big Sean x Pusha T – “Mercy”
Best Live Performer
A$AP Rocky
Drake
J. Cole
The Throne (Jay-Z x Kanye West)
Kanye West
Lyricist of the Year
J. Cole
Jay-Z
Kendrick Lamar
Nas
Kanye West
Video Director of the Year
A$AP Rocky x Sam Lecca
Benny Boom
Chris Robinson
Kanye West
Hype Williams
MVP of the Year
2 Chainz
J. Cole
Jay-Z
Rick Ross
Kanye West
Producer of the Year
Hit-Boy
J. Cole
J.U.S.T.I.C.E. League
No I.D.
Kanye West
Track of the Year
“Cashin’ Out” (Ca$h Out)
“I’ma Boss” (Meek Mill f/ Rick Ross)
“N-gas In Paris” (The Throne)
“No Lie” (2 Chainz f/ Drake)
“The Motto” (Drake f/ Lil’ Wayne x Tyga)
CD of the Year
The Dreamer, The Believer (Common)
Take Care (Drake)
Cole World: The Sideline Story (J. Cole)
Watch The Throne (Jay-Z x Kanye West)
TM 103: Hustlerz Ambition (Young Jeezy)

0 comments: