Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Thursday, August 23, 2012

BIBI BOMBA FINALE... BIBI VERONIKA MPANGALA a.k.a TUKINAO AIBUKA MSHINDI

washiriki wa bibi bomba

BIbi veronica mpangala a.k.a Tukinao akiwa kwenye  fashion show ya single battan

logo ya bibi  bomba 
 shindano lililokua likiendwesha na televisheni ya clouds tv [bibi bomba] hatimaye limefikia tamati baada ya siku 60 kumalizika. shindano hilo lililokua likirusha kila siku kwenye mishale ya saa 2 na robo usiku na mtangazaje wake machachar babuu wa kitaa limemkabidhi mshindi wa kwanza ambaye ni bibi veronika mpangala hundi ya shillingi millioni tano kutoka NMB akifuatiwa na mshindi wa pili bibi Anna Said a.k.a ngoma nagwa hundi ya shilingi milioni tatu na mshindi namba tatu akiambulia bibi Nasra Mohamedi akikabidhiwa hundi ya shilingi milioni moja na laki tano.

0 comments: