Ads 468x60px

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER

.

Monday, November 12, 2012

DIAMOND APATA AJALI....

kipande cha picha kikionyesha sehemu ya gari la Diamond ilivyoumia....

sehemu ya mbele ya gari hiyo....

msanii wa miondoko ya bongo fleva nchini Tanzania anaye tamba na kibao chake kipya ''nataka kulewa'' ambacho pia kina migogoro kati yake na msanii mwenzake H. baba... rais wa wasafi a.k.a diamond platnum ameripotiwa kupata ajali maeneo ya Chole road, masaki alipokua akitoka location kufanya shooting ya wimbo huo majira ya saa tatu za usiku Jumamosi iliyopita.........
 

"mida kama ya saa tatu tatu hivi kasoro,nikiwa narudi home, napita mitaa ya Arabela mbele kuna Rav 4 mkono wa kulia kuna pikipiki nilikua nataka ku overtake pikipiki, nikataka niikwepe pikipiki kwapembeni kulikua na shimo, nikajaribu kurudi kwenye lami ndio nikaenda kugongana na Rav4..lakini hakuna mtu alieumia,"
"unajua mwisho wa mwaka tena huu, watu wanatoa kafara zao bahati mbaya zinatukuta watu kidogo manguli hazituumizi sana, wepesi wepesi wangeondoka mzima mzima kabisa wangebaki story tu alikufa na ajali, sababu hata ukitazama wanaopata ajali ni wale wanao hit, zinafeli hahhaaaaa i was just kidding." alisema  Diamond

0 comments: